Huduma yenu ni nzuri, nafurahi kwa kuwatumia. Maana napata mzigo wangu kwa wakati tena ukiwa umefungwa vizuri kabisa. Tatizo ni kuwa na njia moja ya usafirishaji kwa kutumia ndege. Hebu tupe na njia ya meli ili tuwe tunasafirisha mizigo mikubwa Asante.